generica viagra

Kangi Lugola aapishwa kuwa Waziri

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola akiapa mbele ya Rais Dk.John Magufuli,Ikulu jijini Dar es Salaam

Meja Jenerali Jacob Kingu aapishwa kuwa Katibu Mkuu

Meja Jenerali Jacob Kingu akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli,Ikulu jijini Dar es Salaam.

Ramadhani Kailima aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu

Ramadhani Kailima akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Ziara ya Kikazi

Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati wa ufunguzi wa vituo vya polisi vinavyohamishika,mkoa wa kipolisi Kinondoni,jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa Waziri Kangi Lugola na waandishi wa habari.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na waandishi wa habari.

Latest News

Back to Top