Ziara ya Kikazi Polisi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) akimsalimia Naibu Inspekta Generali wa Polisi, D/IGP Abdulrahman Kaniki wakati Katibu Mkuu huyo akiambatana na Naibu wake, Balozi Simba Yahya (wakwanza kushoto) walipokuwa wanawasili Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam

Ziara ya Kikazi Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu (wapili kushoto) akitoa taarifa ya utendaji kazi wa Jeshi lake kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (katikati meza kuu) wakati Katibu Mkuu huyo ambaye aliambatana na Naibu wake, Balozi Simba Yahya (wapili kulia meza kuu) katika ziara ya kikazi Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.

Ziara ya Kikazi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kushoto) akimsalimia Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali (CGP), John Minja wakati alipokuwa anawasili ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi

Kuapishwa

Rais Dkt. John Magufuli (kushoto) akimuapisha Charles Kitwanga (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu jijini Dar es salaam leo. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue.

Katibu Mkuu Atembelea Ofisi za Zimamoto na Uokoaji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiongozwa na Kamishna Jenerali, Pius Nyambacha wapili kulia.

Kuapishwa kwa Katibu Mkuu

Rais Dkt. John Magufuli (kushoto) akimuapisha Meja Jenerali Projest Rwegasira Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Ziara ya Kikazi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni akisalimiana na Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimani. Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu

Habari Mpya

Wednesday, January 27, 2016

MEJA JENERALI RWEGASIRA ATAKA POLISI WENYE TABIA YA KUWABAMBIKIZIA KESI WANANCHI WACHUKULIE HATUA KALI

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira amewataka viongozi...
Tuesday, January 26, 2016

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI NA NAIBU WAKE WALIPONGEZA JESHI LA POLISI KWA KAZI NZURI NA KULITAKA KUWACHUKULIA HATUA KALI BAADHI YA ASKARI WENYE TABIA YA KUWABAMBIKIZIA KESI WANANCHI

Katibu Mkuu Mambo ya Ndani ya Nchi na Naibu Wake Walipongeza Jeshi la Polisi Kwa Kazi Nzuri na...
Thursday, December 17, 2015

TAARIFA YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ILIYOTOLEWA NA MSEMAJI WA WIZARA ISAAC JOEL NANTANGA KATIKA KIKAO CHA WAANDISHI WA HABARI KILICHOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MAELEZO JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 11 DESEMBA, 2015

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeanza zoezi la kuhakiki Vyama vyote vya Kijamii vilivyopo hapa...

Watembeleaji

  • Total Visitors: 168593
  • Since: 11/27/2015 - 15:28
Back to Top