Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akizungumza na Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya (katikati), Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura, baada ya kuwasili Wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida kwa ajili ya kushiriki hafla ya ufunguzi wa kituo cha Polisi cha Wilaya hiyo, ambacho kitafunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, Oktoba 15, 2023.