Mheshimiwa Simbachawene Aapishwa kuwa Waziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Simbachawene Awasili Wizarani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akisalimiana na Wakuu wa Idara wa Wizara hiyo, wakati alipokuwa anawasilia Wizarani hapo baada ya kuapishwa Ikulu, Dar es Salaam.

Christopher Kadio Aapishwa Kuwa Katibu Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Ramadhani Kailima aapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu

Ramadhani Kailima akiapa mbele ya Rais Dk. John Magufuli, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Ziara ya Kikazi

Naibu Waziri Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati wa ufunguzi wa vituo vya polisi vinavyohamishika,mkoa wa kipolisi Kinondoni,jijini Dar es Salaam.

Ziara ya Naibu Waziri Zanzibar

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Radhiya Rashid Haroub akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni

Habari Mpya

Back to Top