News

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. GEORGE BONIFACE SIMBACHAWENE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2021/2022

Monday, May 3, 2021

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. GEORGE BONIFACE SIMBACHAWENE (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA
MWAKA 2021/2022
UTANGULIZI
 

 1. Mheshimiwa Spika, ninaomba   kutoa   hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Mwaka 2020/2021 na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2021/2022.

 

 1. Mheshimiwa Spika, awali ya yote ninamshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kunijalia uzima na afya njema pamoja na kuniwezesha kuwasilisha Hotuba yangu katika Bunge hili la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

 1. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2020/2021, nchi yetu, ilimpoteza mwana mageuzi, mpendwa wa wananchi wa Tanzania na aliyekuwa mbeba maono mapana ya maendeleo, Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Vyombo vyake vya Usalama imekuwa ni miongoni mwa wanufaika wakubwa wa miradi iliyojengwa na inayoendelea kutekelezwa kutokana na juhudi za Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ikiwemo ujenzi wa ofisi za Makao Makuu ya Vyombo hivyo na ujenzi wa makazi ya Askari. Wizara...

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. GEORGE BONIFACE SIMBACHAWENE (Mb.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2020/21

Thursday, April 23, 2020
 1. UTANGULIZI

 

 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba, Bunge lako Tukufu sasa lipokee na kujadili Taarifa ya Utekelezaji ya Mwaka 2019/20 na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2020/21.

 

 1. Mheshimiwa Spika, nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuniwezesha kuwasilisha Hotuba hii muhimu mbele ya Bunge lako Tukufu. Aidha, kwa namna ya kipekee namshukuru Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuniteua kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia tarehe 23 Januari, 2020.

 

 1. Mheshimiwa Spika, kwa dhati nampongeza Mhe. Rais kwa namna anavyoiongoza Serikali ya Awamu ya Tano inayosimamia utekelezaji wa Ilani ya CCM, ambapo mafanikio mengi yamepatikana katika sekta mbalimbali. Ni wazi kuwa mafanikio hayo yamepatikana kwa kuendelea kuwepo kwa amani na utulivu nchini kupitia utendaji mzuri wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama.

 

 1. Mheshimiwa Spika, ninaomba nitoe Rai kwa wananchi na Waheshimiwa Wabunge wote bila kujali itikadi za aina yoyote, tuendelee kuyaenzi mafanikio haya makubwa na kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kuchangia maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini....

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. KANGI ALPHAXARD LUGOLA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2019/20

Thursday, April 25, 2019

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. KANGI ALPHAXARD LUGOLA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA
FEDHA KWA MWAKA 2019/20
 

 1. UTANGULIZI

 

 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu sasa lipokee, lijadili na lipitishe Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2018/19 na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2019/20.

 

 1. Mheshimiwa Spika, pamoja na maelezo haya nitakayoyasoma naomba hotuba yangu yote iingie kwenye Hansad kama ilivyowasilishwa mezani kwako.

 

 1. Mheshimiwa Spika, nitumie fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema na kuniwezesha kuwasilisha Hotuba hii kwa mara ya kwanza nikiwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Vilevile, namshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuniteua kusimamia Wizara hii nyeti inayoshughulikia amani, usalama wa raia na mali zao. Aidha, nampongeza Mhe. Rais kwa uongozi wake madhubuti ambao umefanikisha utekelezaji wa mambo mbalimbali ikiwemo miradi mikubwa ya kitaifa. Ni dhahiri kuwa wananchi wengi wana imani na matumaini makubwa na Serikali ya Awamu ya Tano inayosimamia Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya...

LUGOLA ATANGAZA OPERESHENI KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU MKOANI KIGOMA

Wednesday, October 3, 2018

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, ameitaka Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Kigoma ishirikiane na Jeshi la Polisi kufanya operesheni maalum ya kuwaondoa wahamiaji haramu mkoani humo.
 
Akizungumza na mamia ya wananchi katika uwanja wa Mnanila mjini Manyovu wilayani Buhigwe, leo, Lugola alisema anataarifa za kutosha kuhusu wahamiaji haramu kutoka nchi za jirani wapo mkoani humo, hivyo lazima waondolewe kwa mujibu wa sheria.
Lugola ambaye alikua akishangiliwa na wananchi baada ya kutoa agizo hilo, pia alikemea tabia ya baadhi ya watu wanaohifadhi raia hao wa kigeni ambao wameingia nchini kinyume cha sheria.
 
“Sasa natoa agizo hili na litekelezwe, Uhamiaji mkoa washirikiane na polisi kuwaondoa raia hawa wa kigeni ambao wameingia nchini kwa njia zisizo halali, nataka operesheni hii ianze mara moja,” alisema Lugola.
 
Lugola pia aliirudia kauli hiyo ya kuondolewa kwa wahamiaji hao haramu alipokua anazungumza na wananchi wa Kijiji cha Kalinzi, Wilaya ya Kigoma Vijijini, na kuongeza kuwa anashangaa wahamiaji hao wanaendelea kuwepo mitaani huku maafisa uhamiaji wakiwepo mkoani humo.
 
“Hivi inakuaje, wananchi wanalalamika hapa kuhusu uwepo wa wahamiaji haramu, lakini Uhamiaji mpo, mnakaa kimya tu, mnataka mpaka mimi nije ndio nitoe maelekezo haya? Hii sitaki kusikia tena, nataka operesheni hii ianza mara moja na iwe endelevu,” alisema Lugola.
 
Hata hivyo, Lugola alisema katika operesheni...

HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2018/19

Thursday, May 3, 2018

 
HOTUBA YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI
MHE. DKT. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI
KWA MWAKA 2018/19
 

 1. UTANGULIZI

 

 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu, baada ya kuzingatia taarifa iliyowasilishwa hapa Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, likubali kupokea, kujadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka 2018/19.

 

 1. Mheshimiwa Spika, naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na kuniwezesha kuwasilisha Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ambayo itajadiliwa na Bunge hili.

 

 1. Mheshimiwa Spika, pia natumia fursa hii kumshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Kwa kuongoza vema Taifa letu Na kuendelea kusimamia amani, utulivu na usalama nchini. Ni dhahiri...

Opening Statement by Hon. Mwigulu Lameck Nchemba (MP), Minister for Home Affairs of the United Republic of Tanzania on the 19th Meeting of the Tripartite Commission for the Voluntary Repatriation of Burundian Refugees in Tanzania held on 31st August 2107,

Thursday, August 31, 2017

 
Hon. Pascal Barandagiye, Minister for Interior and Patriotic Education of the Republic of Burundi and Head of Burundi Delegation,
Madam Chansa Ruth Kapaya, UNHCR Country Representative in Tanzania and Head of UNHCR Delegation,
 
Hon. Brig. General (Rtd) Emmanuel Maganga, Kigoma Regional Commissioner,
Hon. Major General (Rtd) Salum M. Kijuu, Kagera Regional Commissioner, 
Mr. Abel Mbilinyi, UNHCR Representative for Burundi,
 
H.E. Rajabu Hassan Gamaha, the Ambassador of the United Republic of Tanzania in Burundi,
 
H.E. Gervais Abayeho, the Ambassador of the Republic of Burundi in Tanzania,
 
Distinguished Heads of Technical Working Group Delegations,
Distinguished Delegates and Guests,
Ladies and Gentlemen,
It’s my great pleasure to welcome you to Dar es Salaam and to this important meeting of the Tripartite commission for the Voluntary Repatriation of Burundian Refugees in Tanzania. I hope that so far you have enjoyed your stay in this wonderful and great city.
Excellences, Distinguished Ladies and Gentlemen,
As we start the meeting of the Tripartite Commission for the Voluntary Repatriation of Burundian Refugees in Tanzania, I would like at the outset to affirm the commitment...

STATEMENT BY AMB. HASSAN YAHYA SIMBA, DEPUTY PERMANENT SECRETARY, MINISTRY OF HOME AFFAIRS ON GOVERNMENT OF TANZANIA PERSPECTIVES ON THE PROTECTION AND SOLUTIONS FOR REFUGEES IN TANZANIA DELIVERED AT THE HIGH-LEVEL DIALOGUE WITH THE UNITED NATIONS HIGH

Wednesday, August 9, 2017

 
 
Hon, Mwigulu Lameck Nchemba - Minister for Home Affairs
Hon Rtd Major General Raphael Mugoya – Regional Commissioner Katavi
Hon Rtd Brigadier General Emanuel Maganga Regional Commissioner of Kigoma
Distinguished Regional Administrative Secretaries
Hon District Commissioners for Ngara
Distinguished Senior Government Officials
Mr. Volker Turk, UNHCR, Assistant High Commissioner – Protection, Geneva
Ms. Catherine Wiesner, Regional Refugee Coordinator (Burundi), Nairobi
Valentin Tapsoba, Director, UNHCR Regional Bureau for Africa, Geneva
Mr.  Mamadou Dian Balde, Deputy Director, Comprehensive Response CRRF, Geneva
Ms. Chansa Ruth Kapaya, UNHCR Country Representative
Senior UNHCR Officials
 
Distinguished Participants,
 
Ladies and Gentlemen;
 Good morning.
 
 
It gives me great pleasure to participate in this high level diaologue on key issues on asylum and protection for people that are compelled to seek refuge in our country. On behalf of the Government of the United Republic of Tanzania, I wish to extend my appreciation to the United Nations High Commissioner for Refugees for timely facilitating this...

OPENING SPEECH BY HON. MWIGULU LAMECK NCHEMBA (MP), MINISTER FOR HOME AFFAIRS, AT THE HIGH-LEVEL DIALOGUE BETWEEN THE GOVERNMENT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE UNITED NATIONS HIGH COMMISSIONER FOR REFUGEES (UNHCR)

Wednesday, August 9, 2017

 
 
Hon Rtrd Major General Raphael Mugoya – Regional Commissioner Katavi
Hon Rtrd Brigadier General Emanuel Maganga Regional Commissioner of Kigoma
Ambassador Simba Yahya, Deputy Permanent Secretary, Ministry of Home Affairs
Distinguished Regional Administrative Secretaries
Hon District Commissioners for Ngara
 
Distinguished Senior Government Officials
 
Mr. Volker Turk, UNHCR, Assistant High Commissioner – Protection, Geneva
 
Ms. Catherine Wiesner, Regional Refugee Coordinator (Burundi), Nairobi
 
Valentin Tapsoba, Director, UNHCR Regional Bureau for Africa, Geneva
 
Mr.  Mamadou Dian Balde, Deputy Director, Comprehensive Response CRRF, Geneva
 
Ms. Chansa Ruth Kapaya, UNHCR Country Representative
 
Ladies and Gentlemen,
 
Good morning
 
Allow me at the outset, on behalf of the United Republic of Tanzania and on my own behalf to give a warm welcome to our co-operating partners from the office of the High Commissioner in Geneva to Tanzania and in particular to this high-level dialogue between the government of the United of Tanzania and the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR).
We are indeed grateful...

Pages

Subscribe to
Back to Top