-
Mheshimiwa Simbachawene Aaapa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
-
Christopher Kadio Aapa Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
-
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akisalimiana na Wakuu wa Idara wa Wizara hiyo, wakati alipokuwa anawasilia Wizarani hapo baada ya kuapishwa Ikulu, Dar es Salaam.