Dira & Dhima

Dira
Dira ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ni kuwa Wizara yenye ufanisi katika kusimamia na kuhakikisha Amani, Utii wa Sheria, Usalama wa Raia na Mali zao.
Dhamira
Dhamira ya Wizara ya Mambo ya ndani ya Nchi ni Kudumisha Usalama, Amani na Utulivu kwa kuandaa na kutekeleza Sera na Sheria husika.
 
 
 

Back to Top