Idara
Kufuatana na Muundo uliopitishwa mwaka 2013,Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inaundwa na Idara, na Vitengo vifuatavyo:
- Idara ya Jeshi la Polisi (Jeshi la Polisi);
- Idara ya Huduma za Magereza (Jeshi la Magereza);
- Idara ya Huduma za Uhamiaji (Idara ya Uhamiaji);
- Idara ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (Jeshi la Zimamoto na Uokoaji);
- Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA);
- Idara ya Probesheni na Huduma za Jamii;
- Idara ya Kushughulikia Malalamiko;
- Idara ya Huduma za Sheria;
- Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu;
- Idara ya Sera na Mipango;
- Idara ya Usimamizi wa Manunuzi;
- Kitengo cha Fedha na Uhasibu;
- Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani;
- Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali;
- Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano.