WATUMISHI WA MAMBO YA NDANI WASHIRIKI BONANZA LA SHIMIWI 2026
Watumishi na Wanamichezo wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo wameongozwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Huduma za Sheria, Flora Mrope kushiriki Bonanza la Uzinduzi wa Michezo ya SHIMIWI 2026 lililofanyika jijini Dodoma.
