Tanzania logo
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Kanusho

Hakuna madai yatakayotolewa kuhusu usahihi au uhalali wa maudhui ya tovuti hii. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi haitakubali dhima yoyote kwa mtu yeyoye kwa taarifa au ushauri unaotolewa kwenye tovuti hii au kushirikishwa kwenye tovuti hii kwa marejeo. Taarifa iliyomo kwenye tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi haipaswi kuonyeshwa isipokuwa katika mfumo kamili wa Serikalini. Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi inaweza kuwaunganisha na wavuti za tovuti za nje zilizo za serikali au zisizo za serikali (Tovuti za mtumiaji watatu) isipokuwa pale itakapoelekezwa vinginevyo; -Haishirikishwi au kuhusishwa na mmiliki au mwendeshaji wa tovuti ya mtumiaji wa tatu; na -Kama una maswali yoyote kuhusu maudhui yaliyomo kwenye tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, tafadhali wasiliana nasi.