generica viagra

IGP Apokea Msaada wa Magari

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akisikiliza maelekezo ya jinsi inavyotumika moja ya magari manne waliyokabidhiwa na Kampuni ya utengenezaji magari ya Haval. Anayemuelekeza ni Meneja wa Kampuni ya Kifaru, Mario Gaspari.

Mwigulu afanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Marekani nchini.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mwigulu Nchemba, akizungumza na Naibu Balozi wa Marekani nchini,Dk. Inmi Patterson(wapili kulia).

Kuapishwa kwa Katibu Mkuu

Rais Dkt. John Magufuli (kushoto) akimuapisha Meja Jenerali Projest Rwegasira Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Ziara ya Kikazi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni akisalimiana na Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Haji Hamza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Uhamiaji Zanzibar zilizopo katika eneo la Kilimani. Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Sururu

Baraza la Wafanyakazi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba (kushoto), akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya baada ya kufungua Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Wizara.

Habari Mpya

Back to Top