Tanzania logo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

WAZIRI MASAUNI AONGOZA SEMINA KWA WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA NUU KUHUSU BIASHARA HARAMU YA USAFIRISHAJI WA BINADAMU, BUNGENI JIJINI DODOMAMwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU), Vita Kawawa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kushoto), Naibu Waziri, Jumanne Sagini (Watatu kushoto), Katibu Mkuu, Kaspar Mmuya (Wanne kushoto) na viongozi mbalimbali wa Wizara na Wajumbe wa Kamati hiyo, wakati wa Semina kuhusu Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, iliyoandaliwa na Wizara na ilifanyika Bungeni, jijini Dodoma, Januari 29, 2024.