ZIARA YA MENEJIMENTI YA KUTEMBELEA KIKUNDI CHA NGOMA ZA MAONESHO ‘PAMOJA THEATRE GROUP’
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,imeshuhudia
ngoma za kabila la wasukuma ambapo walipata kushuhudia aina mbalimbali za ngoma
za Kabila hilo.
Ziara hiyo ni mjumuisho wa Kikao Kazi kilichoanza tarehe
3/11/2026 ambapo Wajumbe wa Menejimenti ya wizara hiyo walikutana jijini Mwanza
katika Kujadili na Kuboresha Utekelezaji wa Majukumu ya kuwahudumia wananchi.
