ZIARA YA HIFADHI YA TAIFA SAANANE
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imetembelea
Hifadhi ya Taifa Saanane iliyopo jijini Mwanza.
Ziara hiyo ni mjumuisho wa Kikao Kazi kilichoanza tarehe
3/11/2026 ambapo Wajumbe wa Menejimenti ya wizara hiyo walikutana jijini Mwanza
katika Kujadili na Kuboresha Utekelezaji wa Majukumu ya kuwahudumia wananchi.
