NAIBU KATIBU MKUU, DKT. FRANKLIN RWEZIMULA AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA ZITAKAZOWASILISHWA KAMATI ZA BUNGE
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Franklin Rwezimula ameongoza kikao cha kupitia taarifa zitakazowasilishwa katika Kamati za Kudumu za Bunge kwa mwezi Agosti 2026. Jijini Dodoma
Kikao hicho kimejadili taarifa za Taasisi na baadhi ya Idara zilizo chini ya Wizara, ikiwemo Jeshi la Polisi, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Jeshi la Magereza, Idara ya Uhamiaji na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
